Google PlusRSS FeedEmail

MC LYTE ATOA SOMO KWA WASANII WA KIKE

Rapa mwanamke wa muda mrefu nchini Marekani MC Lyte ameguswa na namna ambavyo kazi yake imeenziwa na wadau wa muziki nchini humo.

MC alisema hayo katika hafla ya utoaji wa tuzo za BET ambapo alipewa tuzo ya kutambua mchango wake kwenye muziki wa Hip Hop.

Mwanamuziki huyo ambaye aliwahi kutamba zaidi miaka ya 1994 na 1995 hasa kwa kibao chake Keep on na You Have to Party aliwataka wasanii wanawake hasa wanaoimba muziki wa Hip Hop kutokata tamaa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging