GARI LA PROFESSA JAY LIMEPATA AJALI, MWENYEWE HAKUWEPO KWENYE GARI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Professa Jay ashtushwa na taalifa za ajali zilizozaga kwenye mitandao ya kijamii, na kudai kuwa gari lake ndilo limepata ajali ambalo lilikuwa likiendeshwa na msanii mwenzake wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Incredible