50Cent ni miongoni wa wasanii wakubwa nchini America ambapo amezoea kuonekana na michoro ya tattoo tofauti tofauti ambapo mara nyingine huamua kufuta michoro hiyo na kuchora michoro
Muigizaji maarufu Jolie ilibidi afute tattoo ya mpenzi wake wa mwanzo baada ya kuachana naye ambapo hapo awali alichora jina la mpenzi wake huyp Billy Bob.