KENDRICK RAPPER BORA Posted on by Zourha Malisa Kendrick Lamar ametajwa kuwa Rapper Bora Wa Mwaka Huu Kwa Mujibu Wa Jarida La GQ kwenye tolea la Mwanaume Bora wa Mwaka Huu.