Hii ni baadhi ya mitindo tu iliyoonekana kuwatesa wasichana wengine hususani wa hapa nyumbani huku baadhi yao kuonekana kuhitaji kuweka mitindo hiyo.
RIHANNA AWATESA MABINTI WENGI MITINDO YA NYWELE
Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani Rihanna anaonekana kuwa kivuto kwa wasichana wengi kutokana na mitindo yake ya nywele anayopenda kuiweka kichwani mwake hali inayopelekea baadhi ya wasichana wengi kuiga mitindo hiyo.