Siku chache mara baada ya kutoka kwenye uangalizi maalumu yaliyosababishwa na matumizi mabaya ya pombe, mwanamuziki Amanda Bynes, ameweka wazi mpango wake mpya kuwa ni kusomea masuala ya mitindo.
Amanda alikuwa kwenye uangalizi maalumu baada ya kufanya vitendo ambavyo havikuwa vya kawaida ikiwamo kuwasha gereji ndogo ya nyumba kulipua gesi, kiasi cha kuwatia mashaka jamaa na marafiki zake na hakimu ya mahakama ya Calfornia alitoa uamuzi wa kumpeleka kwenye matibabu na baadae Lihab kwa ajili ya kupata muda wa kujifunza na kujipumzisha
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








