Google PlusRSS FeedEmail

EMPRESS NJAMAH AKANUSHA KUWAPENDA WANAUWE WENYE NAZO

Muigizaji ambaye pia ni mfanyabiashara kutoka nchi ya Nigeria, Empress Njamah amekanusha uvumi uliokuwa umetapakaa kuwa hawezi kuolewa na mwanaume maskini.

Alisema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na mtandao wa sho ya bizbuz mwisho wa wiki, Njamah alifafanua kuwa alichokisema ni kwamba kuolewa na masikini ni kuongeza umasikini kwenye familia lakini kama akipatikana mwenye mapenzi ya kweli hawezi kumktaa kwa kuwa watakuwa wanapendana

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging