Google PlusRSS FeedEmail

JLO & CASPER SMART WATARAJIA KUFUNGA NDOA


Mwanamuziki Jennifer Lopez anatarajiwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu,Casper Smart.wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano zaidi y7a miaka mitatu sasa wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi.katika mahojiano yake na jarida la Jlo,amesema uhusiano wake na ,Casper umekuwa mzuri sana tofauti na mahusiano yake na wapenzi wake waliopita,katika kipindi chote wawili hao wamekuwa wakionekana katika mitoko mbalimbali wakiwa pamoja...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging