Google PlusRSS FeedEmail

MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AOLEWA NA KAKA YAKE


Mtoto wa aliyekuwa muimbaji wa muziki nchini Marekani Marehemu Whitney Houston, 'Bobbi Kristina'  hivi karibuni atangaza kuolewa rasmi na mwanaume anayejulikana kwa jina la Nick Gordon ambaye hapo awali ilidaiwa kuwa ni kaka yake.

Mtoto huyo alitangaza ndoa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo inadaiwa ameamua kuolewa na mpenzi wake huyo wa muda mrefu, ambaye alishawahi kuwa kaka yake 'Adopted Brother' huku ikidaiwa kuwa alishawahi kulelewa na familia ya Whitney kama mtoto wao.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging