Google PlusRSS FeedEmail

LUDACRIS AVUJISHA SIRI YA MKE WAKE

Rapa Ludacris amevujisha siri iliyoibua ugomvi mkubwa kati yake na mzazi mwenzake, ambapo imedaiwa kuwa mzazi mwenzake amemwambia kuwa kama asipompa gari ya kisasa atakwenda kumvua nguo mbele ya jamii.

Inadaiwa kuwa kutokana na hali hiyo Rapa huyo ameamua kupeleka shauri hilo katika vyombo vinavyohusika ili kuweza kutatua mgogoro huo.

Luda pia alienda mbali na malalamiko yake na kudai kuwa ingawa alikuwa akimpa mwanamke huyo dola 7,500 lakini mzazi huyo bado anaona kiasi hicho ni kidogo na hali hiyo inazidi kumletea tafrani na mpenzi wake wa sasa Eudoxie Agnan.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging