Google PlusRSS FeedEmail

VAN VICKER KUJA NA FILAMU YA UTUMWA


Mshindi wa Tunzo ya filamu ya Pan African Van Vicker anasema kuwa wakati umefika wa kufanya filamu za Historia ya kweli ambayo  haisemwi sana hasa kuhusu bara letu la Africa..mpaka sasa Vicker mpaka sasa ameandaa  filamu  yake ya saba ambayo ameshaibatiza jina la 1800 filamu inayohusu biashara ya utumwa enzi za ukoloni..alifafanua kuwa anataka kufanya kitu tofauti kwenye filamu hiyo na kuonyesha ni kiwa jinsi gani kizazi hiki kinatakiwa kufahamu kuhusu kilichitokea siku siku za nyuma...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging