Mwanamuziki machachari wa Marekani, Lil Wayne amewataka walimu wa ngazi mbalimbali za elimu kuacha kutumia mistari ya nyimbo zake kuwafundisha wanafunzi.
Rapper huyo alisema hakuna haja ya kutumia maneno wala misemo mbalimbali aliyokuwa akitumia kwenye nyimbo zake kama njia za kuwafundisha wanafunzi.
Hali hiyo imeibuka kufuatia mwalimu mmoja wa shule ya awali iliyopo kusini mwa Florida, The Charter School of Boynton Beach kusimamishwa kazi mwezi huu kwa kuwapatia wanafunzi kazi za nyumbani zinazohusiana na nyimbo za msanii huyo
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








