Mcheza filamu Mercy Johnson anasadikiwa ndeye msanii tajiri zaidi kuliko wasanii wote wa kike Nchini Nigeria.Uchunguzi uliofanywa na Mtandao wa Yes International umebaini kuwa Mercy amekuwa akilipwa kati ya Naira 1.5 hadi Million 2 kwa filamu moja.Kwa sasa inasemekana mwanamama ambaye ana mtoto mmoja .inasemekana tangu mwakahuu uanze tayari ameshafanya filamu kama 9 na baadhi ya filamu hizo ni kama Obioma the slave Girl,Mery the Hunter,Cry of a widow ,Voice the mother nk.