
Wakati mashabiki kote ulimwenguni wakisubiri kwa hamu kuona ni kitu gani kitatokea kwenye harusi ya mastaa wawili Nchini Marekani Rapper Kanye West na mchumba wake Kim Kardashian ,Ambao wanatarajiwa kufunga ndoa mwezi ujao,

Kupitia mtandao wa Glazia umbainisha wawili hao watawapa wageni waalikwa zawadi kem kem zenye bei ya juu ikiwemo Champagne na bidhaa nyingine lukuki.wawili hao wametenga zaidi ya $125,000/= kwa ajili ya manunuzi ya wageni 200 ambao wataalikwa kwenye harusi hiyo.







