
Mwanamuziki wa R&B kutoka huko Los Angeles Songs kupitia ukurasa wake wa twitter amekiri kuwa yeye anashiriki mapenzi ya jinsia moja.Kuongeza kuwa yeye ni shoga kwenye tweet yake aliaambatanisha na picha ambayo inamuonyesha aki mkiss mwanaume mwenzie ambaye inasadikika ndiye mpenzi wake..katika tweet yake hiyo aliiandika maneno haya "I think it's time to finally tell my fans. all games and jokes aside...I'm Gay...








