Google PlusRSS FeedEmail

YALIYOJILI KATIKA UZINDUZI WA FOUNDATION YA KANUMBA

Rais wa Shirikisho la Filamu nchini Simon Mwakifamba pamoja na mama yake marehemu Kanumba wakiwa wameshika kitabu ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa taasisi hiyo huku baadhi ya wasanii wengine wa filamu wakishuhudia zoezi hilo. uzinduzi huo ulifanyika juzi katika ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Filamu nchini Mwakifamba akiwaonesha baadhi ya mashabiki waliohudhuria uzinduzi wa Kanumba Foundation, lenye lengo la kufanya kazi za sanaa ikiwemo na kukuza vipaji chipukizi (kulia ) mama wa Marehemu Steven Kanumba
Msanii Dude akizungumza na Mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo 
Msanii wa filamu JB, akizungumza na baadhi ya mashabiki(hawako pichani), waliohudhuria uzinduzi huo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging