
April 07 2014 ni miaka miwili imetimia tangu Kanumba afariki dunia katika kumuenzi lilifanyika tamasha lililowahusisha wasanii wa filamu,bongo fleva,taarabu na muziki wa dansi kisha ukafunguliwa mfuko rasmi wa Kanumba naoitwa Kanumba the Great Foundation.
Wasanii walijitokeza kwa wingi katika tamasha hilo,ila lilichelewa kuanza kutokana na matatizo ya umeme ila wananchi walivumilia mpaka tatizo la umeme lilipotengamaa







