RJ Company inagombania kipengere cha Muongozaji Bora nafasi inayogombewa na Ray, Filamu Bora ya mwaka ambayo ni Twisted, mwigizaji bora chipukizi Najma, nafasi nyingine inayogombewa na kampuni hiyo ni mpiga picha Bora inayogombewa na Farid Uwezo, Mhariri bora inayogombewa na Mandela na nyingine ni Mwigizaji msaidizi Blandina Changula ‘Johari’ kupitia filamu ya Bad Luck.
Wengine walioingiza kazi nyingi ni kampuni ya Jerusalem film company inayoongozwa na Jacob Stephen ‘JB’ ambaye amefanikiwa kushiriki kuingia katika vipengere 6. Wajey Film