Google PlusRSS FeedEmail

WASANII WA FILAMU WAJITAMBULISHA KWA MTINDO WA SEBENE

Msanii wa filamu JB, akicheza miondoko ya Sebene katika uzinduzi wa taasisi ya Kanumba Foundation, iliyofanyika juzi katika ukumbi wa Dar Live Mbagara jijini Dar es Salaam, hiyo ilikuwa ni moja ya sehemu kwa wasanii hao kujitambulisha kwa mashabiki wao waliohudhuria uzinduzi huo 
Msanii wa filamu anayejulikana kwa jina la 'Baba Haji' naye alipata nafasi ya kujitambulisha kwa mashabiki wake kwa mtindo huo wa kucheza sebene

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging