Google PlusRSS FeedEmail

BREAKIN NEWZ TIMU YA KIPINDI CHA MBONI SHOW YAPATA AJALI MBAYA YA GARI MMOJA AFARIKI DUNIA

                             


Timu ya kipindi cha mboni show imepata ajali mbaya ya gari,mara baada ya gari waliokuwa wakisafiria kupasuka tairi,

Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni akiwa njiani kurudi Dar es Salaam

Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza mauti na wengine kupata majeraha mwilini pamoja na dereva wa gari hilo. Kwa sasa mwili wa marehemu uko njiani kuletwa jijini dar es salaam kusubiri ratiba ya mazishi.

Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu Geogre Tyson mahala pema peponi.Amin

IMG_4213

IMG_4214
Baadhi ya picha zikionyesha gari walilokuwa wakisafiria marehemu na wenzake IMG_4215

IMG_4257
Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na kumpa pole Mboni Masimba, AY aliweza kununua jeneza la marehemu Tyson ili  kuweza kuusafirisha mwili mpaka  Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni Jijini Dar es salaam
IMG_4275

IMG_4276

IMG_4294

IMG_4297


PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging