Mmiliki wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka akiwa katika pozi red carpet katika ukumbi wa Mlimani City katika tuzo za Kilimanjaro Music Awards
Msanii wa filamu nchini Richie Richi naye alikuwa ni mmoja wa wageni waalikwa waliohudhuria tuzo hizo za kilimanjaro katika ukumbi wa Mlimani City
Mtangazaji wa Clouds Millady akiwa na Joketi ambao pia walikuwa ni miongoni mwa washereheshaji wa tuzo hizo
Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya Vick Kimani naye alikuwa ni mmoja wa wageni waalikwa
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.