Tunzo KTMA zimekamilia usiku wa kuamkiajana wakati mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Diamond amefanikiwa kunyakuwa Tuzo saba na kuweka Record mpya kwa kunyakua Tuzo nyingi zaidi..
wengine waliopata Tuzo ni Vanessa Mdee ameshinda tuzo ya wimbo bora wa R&B na wimbo wa Closer.
Nikki wa pili ameshinda tuzo ya wimbo bora wa Hip-hop kwa mwaka 2014 na wimbo wa Nje ya Box.
Tuzo ya rapa bora wa Bendi mwaka huu ni Ferguson,tuzo ya mwimbaji bora wa kiume wa bendi ambapo shindi ni Jose Mara,,Tuzo ya mshindi wa mwimbaji bora wa kike wa bendi na mshindi ni Luiza Mbutu