Google PlusRSS FeedEmail

WADANANDA WAPATA SHAVU


Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni mmiliki wa studio mpya inayoitwa kwa jina la ‘Brainstormusic’, inayosimamia wasanii maarufu nchini, Cpwaa, imeamua kuwapa mkataba wa kazi ya muziki kundi la muziki huo linalojulikana kwa jina la ‘Wadananda’.

Msanii huyo ameamua kuanza kupanga mikakati ya kujitanua kimuziki kwa kuanza kusimamia wasanii wa filamu, muziki, michezo,wachoraji, vinyago,na kazi nyingine za kisanaa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging