Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mchumba wake na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Wema Sepetu akishukuru mashabiki kwa niaba ya Diamond Platnum jana usiku katika kinyang'anyiro cha tuzo za Kilimanjaro Music Awards, msanii huyo aliibuka na tuzo 7 katika vipengele vyote alivyowania.
Msanii wa muziki nchini Diamond Pltanum(kulia) akimsikiliza kwa makini msanii mwenzake wa muziki Ommy Dimpoz (wa tatu kulia) (katikati) Wema Sepetu
Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya nchini Man Water akipokea tuzo jana katika tuzo za Kilimanjaro Music Awards zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City
Msanii wa Hip Hop nchini John Makini akitumbuiza katika usiku za tuzo za Kill
Mtangazaji wa Clouds Tv Shadee, akimshikia kipaza sauti kwa ajili ya kumtangaza mshindi wa tuzo
Msanii wa vichekesho Joti pamoja na Shadee
Diamond Pltanium akishukuru mashabiki na waliohudhuria katika usiku wa tuzo hizo
Wema Sepetu pamoja na Ommy Dimpozi wakifwatilia kwa makini shughuri nzima ya utoaji wa tuzo hizo
Muimbaji wa taarabu Isha Mashauzi akitumbuiza katika usiku wa tuzo
Msanii wa Hip Hop Fid Q akiwa ameshikilia tuzo yake mara baada ya kutajwa kuwa ni mshindi wa tuzo ya msanii bora wa Hip Hop
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.