Google PlusRSS FeedEmail

LIL KIM APATA MTOTO

Member wa zamani wa Junior MAFIA, Lil Kim amejifungua mtoto wa kike akiwa ni mtoto wa kwanza kwake.

Kwa mujibu E! Lil Kim alijifungua June 9, majira ya asubuhi na amempa jina lenye hadhi ya kifalme, Royal Reign.

Royal Reign ni princess mwingine kutoka kwa mwana hip hop anaeungana na dada zake toka kwa wasanii wa kongwe…Blue Ivy (Jay Z) na North West (Kanye West).

Kim mwenye umri wa mika 39 amempata mtoto huyo na rapper wa Marekani anaefahamika kwa jina la Mr. Paper.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging