Google PlusRSS FeedEmail

MTITU AMWAGA MANYANGA RASMI BONGO MOVIE

                                     
Mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effect inayohusika na kutengeneza muvi za hapa Tanzania, Wiliam J. Mtitu ambaye pia alikuwa katibu mkuu wa Bongo muvi  Unit, ametangaza kujivua uongozi la uongozi kutokana na madai ya mwenyekiti wao Bw. Steve Nyerere kutafuna hela.
 
Ingawa kipindi cha uchaguzi Mtitu alitamka kuwa atawapeleka polisi Bongo muvi watakaoiba pesa sasa leo hii imekuaje?

"Nimejivua na sasa mimi si kiongozi tena, hata instagram nimepost. Pamoja na kwamba niliahidi kuwapeleka polisi wezi wa mali za Bongo Muvi Unit, lakini nimeshindwa kwasababu kwanza Bongo muvi haina katiba nitampelekaje mtu polisi? sibola tu nifanye mambo yangu kuliko kuendelea kuibiana." Alisema Wiliam Mtitu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging