Google PlusRSS FeedEmail

WATU MAARUFU WAANIKWA MITANDAONI ULAYA

                              

Idara ya upelelezi ya nchini marekani FBI linachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za watu maarufu kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za utupu za watu hao maarufu ambazo zimekua zikianikwa mitandaoni bila ya muwekaji kujulikana.


Hili limemkuta mshindi wa tuzo ya Oscar Jennifer Lawrence ambaye picha zake liachiliwa mtandaoni,
kampuni ya utengenezaji wa simu za mkononi Apple wamesema wao wanachunguza ikiwa uvujaji wa picha hizo umesababishwa na iCloud .

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging