Google PlusRSS FeedEmail

PIGO BONGO MOVIE, MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinaeleza kuwa muigizaji mkongwe Mzee Manento amefariki dunia.

Mzee Manento atakumbukwa hasa katika filamu alizocheza kiumakini na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to Lagos,Fake Pastor n.k pumzika kwa Amani

Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

Bado tutaendelea kukuhabarisha chanzo cha kifo cha marehemu Mzee Mnento endelea kusikiliza 100.5 Times FM kwa Taarifa na Burudani mbalimbali.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging