Google PlusRSS FeedEmail

MTAMBUE MD PLANT
Anatambulika kama Mussa Daudi,Jina la kazi za sanaa ni MD Plant,alinza kujihusisha na muziki tangu mwaka 2010 ,ila alianza Ku Rap,Ila msanii mwezie ambaye walikuwa wakisoma shule moja hapo Azania Boys.Ben Paul ndiye alimwambia Md Plant kwamba aachane na Ku Rap na aanze kuimba..Mwaka 2011 akaanza kuimba Rasmi,Kazi za kwanza alizofanya alifanikiwa kutoa R&B Mixtape ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la BORA UENDE


Ambayo ilikuwa na nyimbo nane,katika mix tape md plant anasema hakupata faida yoyote zaidi ya yeye kukutana na watu mbalimbali pamoja na kujulikana na Ma Producer mbalimbali na kuweza  Record ngoma inayokwenda kwa jina NO LOVE ambayo amemshirikisha msanii mwizie M-Rap & Country Boy.Ngoma hiyo imefanyika B-Records chini ya Producer Paul Loops & Chizan Brain

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging