Google PlusRSS FeedEmail

KALA JEREMIAH 'DEAR GOD ILIMPA DILI INGAWA ALIDHURUMIWA'Ilimchukua Miaka Nane Kala Jeremiah kuanza kuonja Matunda Ya muziki licha ya kwamba alikua na juhudi kubwa katika kazi zake.Mafanikio hayo yalikuja mara baada ya kuanza kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa Dear God ambao pia ulimpatia tunzo mbili za muziki nchini

Akizungumza kupitia kipindi cha The Jump off cha Times Fm kupitia ipengele cha Mkali wa The jump off Kala alisema kua ni mara kadhaa alikua akipata changamoto mbali mbali katika sanaa hata kabla ya kuingai katika shindano la Bss lakin hakua na mafanikio mpaka pale ambapo alipotoka na Dear God ambapo amekiri ilimfungulia milango ya kuonja matunda ya muziki licha ya kudhuklumiwa katika dili la kwanza alililopata kupitia wimbo huo.

"nilipotoa ile ngoma sikua nimeshtuka licha ya kusifiwa sababu nilishazoea kuambiwa ngoma kali lakini haiendi wala nini ,kwa hiyo nkajua tu vile vile,Baada ya Video maajabu ikawa tofauti mbona kama inaenda tofauti na ngoma nyingine nikaanza kupata interviews ambazo skuwahi kuzipata mpaka nikapata deals kubwa kabisa"alisema Kala.

Hata hivyo anasema kua dili hilo alidhulumiwa na mtu amabaye alikua anasimamia dili hilo na hakupata haka senti moja lakini hakutyaka kueleka malalamiko yake sehemu yoyote.

"Dili langu la Kwanza Kubwa ni dili ambalo nilifanya tangazo flani la kampuni flani lakini mtu aliesimamia dili hilo akanipiga ile pesa yote hata shilingi kumi sikula..sikwenda popote na sikwenda radio yote na ndio kwanza nakuambia wewe leo hapa hata alienidhulumu mwenyewe" ana shangaa kala alimuambia Jabir Saleh wa kipindi cha The Jump off

Kala ameongeza kuwa sababu ya yeye kukaa kimya ni kwambaa anaamini Mungu ndiyo alipanga iwe hvyo

Ilimchukua Miaka Nane Kala Jeremiah kuanza kuonja Matunda Ya muziki licha ya kwamba alikua na juhudi kubwa katika kazi zake.Mafanikio hayo yalikuja mara baada ya kuanza kufanya vizuri kupitia wimbo wake wa Dear God ambao pia ulimpatia tunzo mbili za muziki nchini

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging