Google PlusRSS FeedEmail

AMBER ROSE AHITAJI USHIRIKIANO KUFIKIA MALENGO

                     
Mwanamitindo na msanii wa filamu Amber Rose ameomba ushirikiano kutoka kwa mashabiki ili kufikia malengo.

Msanii huyo ni miongoni mwa wasanii watakaonekana katika filamu mpya ya Cameron & Eddie Lose The Belt, ambayo inatarajiwa kutoka hv karibuni

Msanii huyo ambaye pia anafanya vipindi vya vichekesho ,alisema kuwa ameanza kuchangisha fedha kwa mashabiki na wadau mbalimbali ili kukamilisha mikakati yake
 
   
ameongeza kwa kusema anatarajia kuchangisha dolla $ 1.5 ,moaka sasa mwanamke huyo ambaye ana umri wa miaka 31 ambaye ambaye alishindwa kuvunja ndoa na mumewake Wiz Khalifa,anatarajia kuwafata watu muhimu ili ili kumsaidia katika swala hilo,kabla ya kuwa na Wiz Khalifa alikuwa na mahusiano na Rapper Kanye West

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging