Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAYE CIARA AMUANIKA MTOTO WAKE


                                              
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Ciara ameamua kuweka picha za mwanae katika mitandao ya kijamii ikiwemo InstagramTaarifa zilizosambaa zinasema kuwa kusambaa kwa picha hizo ni kiashiria kuwa msanii huyo atarejea katika majukwaa muda si mrefu kutokana mtoto wake kukuwa haraka

                           
Kwa kipindi kirefu Ciara alikuwa kimya hadi alipojifungua mwezi November mwaka huu,tayari ameshafanya safari moja na mwanae Zahir Jr kutoka Marekani kwenda Uingereza katika shunghuli zake za kibinafsi


Nyota huyoalipiga picha akiwa amemkumbatia mwanae katika pozi tofauti tofauti na kuziweka katika kurasa zake za facebook,twitter,instagram..Ciara ni mmoja kati ya wasanii ambaye amepata mafanikio mbalimbali kupitia tungo zake mbalimbali

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging