Google PlusRSS FeedEmail

NAOMI CAMPBELL NAYE ATINGA KWENYE TASNIA FILAMU YAKE

                          
Mwanamitindo Naomi Campbell amejiunga na wasanii mbalimbali kwa maandalizi ya filamu mpya ya wanamitindo inayotarajiwa kutoka hivi karibuni..

Nyota huyo wa zamani wa urembo ,aliungana na wasanii maarufu mbalimbali akiwemo Kyle Minogue,Foxy Brown , na Tyson Beckford,katika hafla fupi iliyofanyika New York Marekani
           
Msanii huyo aliyetamba  katika miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka 1990,ameonekana bado ana mvuto mkubwa

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 44 sasa anatarajia kuanza kuonekana filamu mpya inayotengenezwa na mtayarishaji Lee Daniels

Naomi anatajwa kuwa mmoja wa wanamitindo waliotia fora katia tasnia hiyo kutokana na umbo lake la kuvutia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging