Google PlusRSS FeedEmail

JE RIHANNA KUBEBA MIMBA

                       
Mwanamuziki wa Pop Rihanna huenda akabeba ujauzito hivi karibuni,Nyota huyo huyo ambaye haishi Vituko,ameonekana kuvutiwa na kuwa na mtoto baada ya kuamua kutunga wimbo mpya ambao unahusu mtoto.

Hata hivyo msanii huyo ameonekana katika mitandao mbalimbali akiwa amepiga picha akiwa na watoto wadogo chini ya umri wa mwaka mmoja,hali inayoashiria anaweza akawa na hamu ya kuzaa wakwake
                                  

Rihanna hivi majuzi alitupia picha katika ukurasa wake wa Instagram huku akiwa ameambatanisha na baadhi ya mashairi yatakayokuwa katika wimbo wake huyo.ila mpaka sasa Rihanna ajaweka wazi kuhusu mahusiano yake..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging