Google PlusRSS FeedEmail

NOVIA AWATAKA WAKALI 5 KUPIGA NAO KAZI


                       
Mtayarishaji wa filamu machachari Nchini Nigieria Charles Novia,amewataja waigizaji nyota watano wa kike ,anaoamini wanafanya vizuri zaidi

Novia amesema walimbwende hao ndiyo wamefanya vyema katika tasnia ya filamu nchini humo kwa mwaka 2014 ambao umebakiza siku chache kumalizika

Katika ufafanuzi wake ,Novia alisema nyota hao wamekuwa wakionekana,katika matukio mengi huku wakiwa wamefanya kazi katika viwango vya juu

Imekuwa kawaida kwa Novia kutaja wasanii bora kila mwisho wa mwaka na hata mwaka jana aliwataja wasanii watano wakike waliofanya vyema katika tasnia ya filamu



Novia amemtaja Mercy Johnson ndiye mwigizaji nyota wa kike wa mwaka jana ,kwa mujibu wake ,mwaka huu uigizaji umekuwa wa kiwango cha juu ukilinganisha na wmaka jana,hiyo imedhihirika kutokana na wasanii kuongezeka na kufanya kazi nzuri zenye ubora wa kimataifa



Wasaniii wakali wa mwaka huu ,Novia aliwataja kuwa ni Nse Ikpe,Etim, Onyeka Onwenu,Omoni Obulli,Queen Nwokoye na Kemi Lala Akindoju





This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging