Siku chache baada ya kunasa mimba ya pili, mwigizaji Flora Mvungi amempa somo la uzazi staa mwenzake, Aunt Ezekiel kuwa anapaswa kuzingatia taratibu za kliniki, vinginevyo atapata madhara makubwa. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Flora alisema mbali na kupunguza kujirusha, anamshauri Aunt aanze kwenda kliniki kwa ajili ya uchunguzi wa kiafya, na jinsi ya kuilea mimba
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.