Google PlusRSS FeedEmail

LULU ATOA FUNDISHO, AMZAWADIA MAMA YAKE NYUMBA YA KIFAHARIIMEZOELEKA zawadi za siku ya kuzaliwa kwa baadhi ya mastaa hapa nchini, magari wanayopewa na wapenzi wao, hii imekuwa ni tofauti kwa msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu'.

Taarifa tamu ikufikie kwamba sexy lady wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amemfanyia mama yake, Lucresia Karugila kufuru ya kufa mtu kisha kumzawadia ile nyumba yake anayoimalizia iliyopo Kimara jijini Dar.Tukio hilo la kupongezwa lilichukua nafasi usiku wa Januari Mosi, mwaka huu ndani ya Hoteli ya Great Wall iliyopo Masaki, Dar, ambapo Lulu alimfanyia mama yake pati ya bethidei akiwa anatimiza umri wa miaka 45.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging