
Nyota wa filamu Nchini Marekani Blake Livery na Ryan
Reynolds,wamepata mototo wa kwanza mara baada ya kuwa katika uhusiano wa
kimapenzi kwa muda mrefu..wawili hao walifunga ndoa mwaka 2012 baada ya kukaa
katika uhusiano kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja ..
Juzi wasanii hao walikwenda katika wodi maalumu ya wazazi ya
Bedford karibu na eneo wanaloishi na baada ya saa chache walipata mototo wa
kwanza
Wasanii hao waliandika katika ukurasa wao wa Twitter
wanashukuru baada ya kufanikiwa kupata mototo
salama ambapo afya za mama na mototo zinaendelea vizuri