Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE AZIDI KUWA KIVUTIO

                          Mwanamuziki Beyonce ameweka Record nyingine kuwa ndiye mwanamuziki ambaye amepiga picha nyingi zenye mvuto kuliko msanii yeyote DunianiTaarifa iliyotolewa jana na tovuti moja ya huko Marekani imeeleza kwamba nyota huyo ameweza kuwashinda nyota wenzake Teigen na Hayley Williams. pia kwenye orodha hiyo wapo Colbie caillat

Frankie Grande na Aretha Flanklin ambao walishindwa pia

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging