Google PlusRSS FeedEmail

SHEDDY CLEVER ATAKA MAKUBWA 2015


Mtayarishaji wa muziki kutoka Burn Records, Sheddy Clever amesema amejipanga kwa mwaka huu 2015 kuja na ladha mpya za muziki ambazo zitakomesha kunakili kazi za nje ya Bongo

Akizungumza Dar es salaam alisema anataka watayarishaji kushirikiana ili kuja na ladha moja ambayo itaweka juu muziki wetu.

kwa maana hv sasa watayarishaji wengi wa muziki wengi wanaiga mdundo kutoka katika mataifa mbalimbali ambayo tayari muziki wao umeshakubalika Duniani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging