Google PlusRSS FeedEmail

WEMA KUMPELEKA DIAMOND PLATNUMZ MAHAKAMANI

                                  
Msanii wa filam Tanzania na aliekua Miss Tanzania mwaka 2006 "WEMA ABRAHAM SEPETU" amemfungulia kesi ya madai aliekua mpenzi wake wa zamani DIAMOND PLATNUMZ kwa kumripoti katika kituo cha polisi OSTERBAY kwa kudai kumtapeli kiasi cha Shillingi Million 10 ambazo alimpatia kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kua angemlipa lakini makubaliano yao yamekwenda kinyume na ahadi. 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging