Google PlusRSS FeedEmail

PROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU KWA NJIA YA MTANDAO


                           


Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtandao 
Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo kwenye hafla fupi iliyoandaliwa na Proin Promotion kwa ajili ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kupitia njia ya mtandao.Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizindua rasmi mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtadao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza(wa kwanza kushoto)Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo baada ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kwa njia ya mtandao. Wa kwanza kulia ni Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF), Bw. Simon Mwakifamba na kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce FissooWaziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akitazama moja ya filamu iliyonunuliwa kwenye uzinduzi wa kuuza filamu kwenye mtandao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo
Msanii wa maigizo Elizabeth Diana Michael "Lulu" akieleza jambo kwa Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara kwenye uzinduzi wa kuuza filamu kwa kutumia mtandao katikati ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo 

 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging