DIAMOND PLATNUM USO KWA USO NA P SQUARE Posted on by Zourha Malisa Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria.