Google PlusRSS FeedEmail

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA KASHFA NZITO

BAADA ya kudaiwa kuzama kwenye penzi zito msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, ajikuta akiitwa shoga na  Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence.

King ambaye ana makazi yake pia nchini Afrika Kusini, amedaiwa kutoa kauli hiyo juzi, Jumatano kupitia mtandao wa facebook, kwa kuonesha kukwera na kitendo cha staa wa muziki Uganda Zarinah Hasan 'Zari' kuangukia katika penzi na Diamond na kuonekana kuwatenga watoto wake, huku akionekana sehemu mbalimbali Afrika akitembena na msanii huyo kutoka nchini Tanzania.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging