Google PlusRSS FeedEmail

OMOTOLA JALADE ASHEREHEKEA MIAKA 20 YA UIGIZAJI WAKE

MSANII wa filamu kutoka Nigeria Omotola Jalade ni kati ya wasanii wachache waliofanikiwa kudumu katika fani hiyo ya uigizaji kuanzia kipindi ambacho tulianza kuangalia filamu za Kinigeria.

Omotola, huku akiwa ameambatana na  mume wake, Kapteni Mathayo Ekeinde pamoja na marafiki zake wameamua kusherehekea maadhimisho ya miaka 20 ya muigizaji huyo ndani ya Nolywood kwa kuwatembelea wajane na watoto yatima na kula nao chakula cha mchana, burudani ya muziki pamoja na kutoa zawadi mbalimbali.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging