Google PlusRSS FeedEmail

FELLA AFUNGUKA KUHUSU MAUZO YA ALBAMU

Mara baada ya baadhi ya wasanii,Nchini kusitisha kutengeneza Albamu,kwa kisingizio kuwa albamu haziuzi,wakiwa na maana ya kulaliwa na wasambazaji huku wasambazaji nao wakilalamika kuwa soko limeingiliwa na na maharamia wa muziki wa kizazi kipya.

Hatimae Maneja wa Kundi la Tmk Wanaume Family Saidi Fella ameibuka na kusema katika kipindi hichi cha mwaka 2015 atahakikisha wasanii anawasimamia Yamoto Band wanakamilisha albamu na kuingia sokoni.

Amesema kuwa wasanii wasikate tamaa ni mipango tu na kufanya kazi kwa juhudi ili kufika katika malengo..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging