Google PlusRSS FeedEmail

ROSE MUHANDO APATA PIGO

MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ambaye hivi karibuni alikanwa na aliyewahi kuwa meneja wake wa muda mrefu, Alex Msama, anadaiwa kuweweseka asijue la kufanya kufuatia hatua hiyo. Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi, limekuwa pigo kwake kwani ndiye aliyekuwa kiongozi na mwokozi wake wa mambo mengi ya kikazi na binafsi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging