Msanii wa muziki wa kizazi kipya 'King wa bongo fleva', Diamond Platnum imebainika kuwa siri ya mafanikio yake katika ulimwengu wa muziki ni kujituma na kubuni vitu vipya kila siku.
Ambapo amebainisha kuwa mazoezi ni miongoni mwa mafanikio yake, katika ulimwengu wa muziki hivyo, kila siku anaakikisha anafanya mazoezi ya muziki ili kuendelea kutoa burudani kwa mashabiki zake.