LUDACRIS AMEAMUA KUJILIPUA, AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA Posted on by Zourha Malisa Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.