Google PlusRSS FeedEmail

TAMASHA LA ZIFF 2015TAMASHA kubwa la kimataifa la filamu la Zanzibar International Film Festival (ZIFF) inawatangazia wadau wote wa filamu kuwakilisha filamu zao katika tamasha hilo kwa ajili ya mwaka 2015 na mwisho kuwasilisha filamu hizo ni mwezi huu tarehe 31. January. 2015.


Mratibu wa tamasha hilo Danny Nyalusi amesema kuwa wataka filamu ziwakilishwe mapema ili kuweza kuzikagua na kuziingiza katika ratiba kwa tamasha hilo kubwa Ulimwenguni kwani ni sehemu inayowakusanya wataalamu wa filamu.

Tunataarifu watayarishaji walete filamu zao mapema kwani baada ya tarehe tajwa hatutapokea filamu, pia tunahitaji filamu katika mfumo wa Dvd ambayo ni moja na si 1&2 hiyo ni kwa ajili ya tamasha tu,”anasema Danny.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging